Skip to main content
Skip to main content

Mjukuu wa Dorita Macharia kufunguliwa mashtaka ya mauaji ya nyanya yake

  • | Citizen TV
    645 views
    Mjukuu wa Dorita Lasinder Macharia, Malaika Wanjiku Gitao, anatarajiwa kufikishwa mahakamani kesho Jumatano na kufunguliwa shtaka la mauaji ya nyanya yake. Watuhumiwa wengine wawili, wakiwemo mama yake Regina Re na mjombake Alton Macharia pia wanatarajiwa kujibu mashtaka ya kusaidia kuficha uhalifu huo. Haya yanajiri huku ibada ya kumuaga marehemu ikifanyika hapa jijini Nairobi kama anavyoeleza Ode Francis.