29 Oct 2025 10:12 am | Citizen TV 126 views Duration: 1:37 Serikali ya Kaunti ya Machakos imekanusha madai kwamba baadhi ya wafanyakazi katika hospitali ya Machakos Level 5 hawajalipwa kwa miezi kadhaa.