- 383 viewsDuration: 3:24Huku juhudi za kuwaokoa watu watatu miongoni mwa wanne waliokwama kwenye jengo la ghorofa nane lililoporomoka katika eneo la Ole nairi Oloolua, Kajiado Kaskazini zikiingia siku ya nne, maafisa wa uokoaji wanasema bado wanakumbana na changamoto katika operesheni hiyo. Mwili mmoja ulioopolewa jana tayari umetambuliwa huku juhudi za kuwatafuta wengine zikiendelea