Skip to main content
Skip to main content

Mkurugenzi wa DCI asema wameanzisha uchunguzi wa shambulio la Osotsi

  • | Citizen TV
    4,859 views
    Duration: 1:45
    Mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa makosa ya jinai Mohammed Amin, amesema uchunguzi umeanzishwa kuhusu kisa ambapo seneta wa vihiga godfrey osotsi alivamiwa katika mkahawa mmoja kule kisumu hapo jana. Amin alikuwa bungeni mbele ya kamati ya usalama ya bunge la kitaifa.