- 538 viewsDuration: 4:08Mkurugenzi wa mashtaka na Umma amewaondolea mashtaka wakurugenzi watatu wa Nairobi Hospital waliokuwa wamefikishwa kizimbani. Watatu hao akiwemo mwenyekiti wa bodi simamizi wa hospitali hiyo Barcley Onyambu, walilazimika kusubiri kwa zaidi ya saa tano kabla ya kuanza kusikizwa kwa kesi dhidi yao inayohusu usimamizi wa hospitali hiyo