8 Jan 2026 1:13 pm | Citizen TV 6,753 views Duration: 1:23 Bawabu katika shule ya msingi ya Harambee Khalsa,eneo la Nakuru Mashariki ameuwawa baada ya watu wasiojulikana kuvamia shule hiyo usiku wa kuamkia leo.