9 Oct 2025 10:22 am | Citizen TV 2,468 views Duration: 1:56 Mlinzi mmoja ameuawa huku mwingine akijeruhiwa vibaya na genge la wahuni wasiojulikana katika kiwanda cha kahawa cha kibingei eneo bunge la kimilili ambao pia wanaaminiwa kuiba magunia takriban kumi na matano ya kahawa.