Skip to main content
Skip to main content

'Mmewaambia Watanzania ninavyowakumbuka? waambieni si muda mrefu nitarudi'

  • | BBC Swahili
    105,983 views
    Duration: 24s
    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, inaendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam. Shahidi wa pili wa upande wa utetezi, John Mnyika, anamalizia kutoa ushahidi wake kwa kujibu maswali ya dodoso kutoka upande wa Jamhuri #bbcswahili #uhaini #tundulissu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw