Skip to main content
Skip to main content

Mombasa: Serikali ya kaunti yatangaza hali ya tahadhari kufuatia mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha

  • | NTV Video
    2,653 views
    Duration: 2:18
    Serikali ya kaunti ya Mombasa imetangaza hali ya tahadhari kufuatia mvua kubwa inayotarajiwa kunya kuanzia wiki hii. Wataalamu wa hali ya hewa wakitabiri mvua ya hadi milimita 150, kiwango kinachoweza kusababisha mafuriko. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya