Skip to main content
Skip to main content

“Mosquito Fleet”: Jinsi boti ndogo za Iran zinavyoitikisa Marekani Hormuz

  • | BBC Swahili
    57,391 views
    Duration: 2:32
    'Mosquito Fleet': Mbinu ya kijeshi ya Iran inayotumia vikosi vya boti ndogo zenye kasi kubwa kushambulia meli kubwa za kivita, hasa za Marekani kwenye Mlango-bahari wa Hormuz. Bosha Nyanje anaelezea #bbcswahili #marekani #iran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw