- 50 viewsDuration: 46sTRANSGENERATIONAL CONVERSATIONAL Mourine Odongo : Tumeambiwa age ya youth ni 18-34 years, lakini wale wako kwa uongozi wamekatalia kwa viti hawataki kutoka. Kwa hivyo vijana watanyakua lini nafasi za kazi iwapo wale wazee hawataki kutoka? #AmaniKwaGround