- 6,137 viewsDuration: 1:24MP Babu Owino: Polisi wanakuja hapa kuleta fujo, ilhali sisi tunapigania haki zao, kwani wanakumbwa na changamoto kuliko hata Wakenya wengine, kwani wanaishi katika nyumba za mikebe. Tukisema wapewe affordable housing, ni mbaya au ni jambo zuri? Wanakuja hapa kutupiga, kwa nini?