Skip to main content
Skip to main content

MP Wilberforce Oundo:Baba aliacha chama kikiwa imara wale walioachiwa wamenunuliwa na Ruto.

  • | Citizen TV
    1,016 views
    Duration: 2:54
    MP Wilberforce Oundo: Hii ni siku ya aibu sana kwa sababu Baba aliacha chama kikiwa imara na kama chama cha kutetea maslahi ya Wakenya, lakini wale walioachiwa wamekuwa tumbocraft na wamenunuliwa na Ruto. Sisi ambao tuko hapa ndio wanachama wa kweli wa ODM