Mpango wa Ajira Digital wapolekewa vyema Tongaren

  • | Citizen TV
    92 views

    Tangu kuzinduliwa Kwa mpango wa kidijitali wa ajira maarufu kama ajira digital mwaka wa 2017, vijana wengi wamefaidi mafunzo ya mtandao na hatimaye kupata fedha za kujikimu.