Skip to main content
Skip to main content

Mpango wa Nkalup waleta afueni kwa elimu ya watoto wa Samburu

  • | Citizen TV
    258 views
    Duration: 2:55
    Ni afueni kwa mamia ya wanafunzi wafugaji kutoka kaunti ya samburu kufuatia kuasisiwa kwa mpango wa Nkalup ambao unalenga kufanikisha ujenzi wa makanisa elfu moja kaunti hiyo huku makanisa hayo yakitarajiwa kutumika kama shule za chekechea siku za wiki na jumapili kuwa sehemu za maabadi.