Mpango wa usalama wa kidijitali wa IGAD wazinduliwa

  • | Citizen TV
    117 views

    Katibu Mtendaji wa IGAD, Dkt. Workneh Gebeyehu, leo amezindua mpango wa sekta ya usalama kidijitali wa IGAD unaolenga kukabiliana na vitisho vya usalama vilivyopo na vinavyoendelea kuibuka, jijini Nairobi