5 Jan 2026 7:22 pm | Citizen TV 15,573 views Duration: 2:45 Baadhi ya viongozi wa chama cha ODM sasa wanamtaka kinara wa chama hicho Dkt. Oburu Oginga kuitisha mkutano wa dharura kusuluhisha mgogoro unaoendelea kutokota chamani