15 Jul 2026 1:19 pm | Citizen TV 3,238 views Duration: 2:51 Mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta unaotarajiwa kuanzishwa katika kaunti ya Lamu na mfanyabiashara Aliko Dangote unatarajiwa kufungua fursa nyingi za ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi katika eneo hilo.