Mradi wa Maendeleo ya Watu Asilia wa Chepkitale

  • | Citizen TV
    24 views

    Mradi wa Maendeleo ya Watu Asilia wa Chepkitale maarufu CIPDP uliandaa warsha ya kikanda kuhusu mazingira katika kijiji cha Laboot, kwa kushirikiana na shirika Indigenous Information Network.