Skip to main content
Skip to main content

Mradi wa matumizi ya kawi ya jua umezinduliwa Nyamira

  • | Citizen TV
    250 views
    Duration: 1:32
    Serikali ya kaunti ya Nyamira kwa ushirikiano na shirika la ustawi la Lake South Water Works wameanzisha mradi wa kutumia nishati ya jua, ili kupunguza gharama ya kusambaza maji kwa wakazi wa kaunti hiyo.