Mradi wa ujenzi wa kiwanda unaendelea Mkunumbi

  • | Citizen TV
    163 views

    Mradi mkubwa wa kiwanda cha matunda unaendelea kujengwa katika eneo la Mkunumbi kaunti ya Lamu pamoja na miradi mengine ikiwemo ya kuboresha elimu