- 4,076 viewsDuration: 2:22Na huku polisi wakitibua mkutano wa ODM wa mrengo wa Linda Mwananchi unaoongozwa na seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kufanyika katika jumba la ufungamano, viongozi wa mrengo huo wanatafuta eneo tofauti la kufanyia mkutano wao. Melita Ole Tenges anaungana nasi mubashara kutufahamisha waliko wafuasi wa linda mwananchi