- 397 viewsDuration: 1:55Msafara wa Jipange na Viusasa umeingia eneo la kati kwa kishindo, ukivutia umati mkubwa wa wakazi wa kaunti ya Kiambu. Aidha, washindi wa shilingi elfu hamsini na nusu milioni pia walitangazwa. Msafara huu unapania kuzuru maeneo mbalimbali nchini kuadhimisha miaka minane ya Viusasa