Msafara wa kusherehekea miaka 24 ya Safaricom waingia siku ya nne

  • | Citizen TV
    99 views

    Msafara wa “safaricom sambaza furaha” kwa ushirikiano wa kampuni ya safaricom na royal media umeingia siku yake ya nne katika eneo la bonde la ufa. Msafara huo unatarajiwa kuzuru maeneo ya kipsitet-nandi hills-namgoi-kapsabet-chepterit-mosoriot hadi kapsere. Wakenya wanaendelea kujishindia zawadi mbali mbali pamoja na kupokea huduma za bure za matibabu. Kampuni ya safaricom inasherehekea miaka 24 tangu kuanza kutoa huduma nchini. Willy lusige yupo kwenye msafara huo na sasa anaungana nasi mubashara kwa mengi zaidi