Wakaazi wa Nyamira wahimiza IEBC iharakishe mikakati ya uchaguzi

  • | Citizen TV
    111 views

    Wakazi wa wadi za Nyamaiya, Nyansiongo na Ekerenyo katika kaunti ya Nyamira wameiomba tume ya uchaguzi na mipaka nchini kuharakisha mikakati na kuandaa chaguzi ndogo katika wadi hizo, ili kujaza pengo la uongozi linalowakumba na kuwaacha nyuma kimaendeleo