Hasara ya maandamano Nakuru

  • | Citizen TV
    124 views

    Washikadau katika sekta ya ukuzaji wa maua nchini wameeleza hofu ya kuathirika kwa sekta hiyo kutokana na maandamano ya kizazi cha gen z na yale ya sabasaba ambayo yameshuhudiwa nchini kuanzia Juni 25 mwaka wa 2025