Msafara wa M-Pesa Nyanza

  • | Citizen TV
    282 views

    Msafara wa MPESA Sokoni umeingia maeneo ya Nyanza kwa kishindo, katika shamrashamra zinazoendelea za kuadhimisha miaka 18 ya huduma za MPESA nchini. Watangazaji wa Radio Citizen na Ramogi FM, vituo vya redio vinavyomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services, wamebeba ujumbe wa MPESA Sokoni kwa wateja wa Safaricom Nyanza. Kampuni ya Safaricom imeshirikiana na Royal Media Services kufanikisha shughuli hii