Msafara wa Safaricom na RMS wafika Nyeri

  • | Citizen TV
    145 views

    Msafara wa Sambaza furaha na safaricom unaendelea mjini Nyeri. Kampuni ya safaricom inasherehekea miaka 24 tangu kuanzishwa, msafara huu ni kwa ushirkiano na kampuni ya Royal Media Services ambazo zawadi chungunzima zinatolewa kwa wakaazi.