Skip to main content
Skip to main content

Msaidizi wa rais Farouk Kibet awaonya wanasiasa wanaoeneza ukabila

  • | Citizen TV
    2,193 views
    Duration: 1:06
    msaidizi wa rais ,farouk kibet aliongeza mjadala wa kisiasa ,huku akionya viongozi wanaochochea siasa za kikabila, akihimiza mwelekeo mpya wa siasa unaozingatia masuala muhimu ya kitaifa kama umoja, ukuaji wa uchumi na maendeleo sawa kwa wakenya wote. Akizungumza wakati wa ibada ya jumapili ya matawi huko chebarus, katika eneobunge la cherangany, kibet alisisitiza kuwa eneo hilo lina nafasi kubwa ya kunufaika zaidi kupitia ushirikiano na serikali ya kitaifa badala ya siasa za upinzani. Kibet aliwahimiza jamii ya mulembe kuungana kwa minajili ya maendeleo ya eneo la magharibi.