Msajili mkuu wa idara ya mahakama Anne Amadi amestaafu

  • | Citizen TV
    1,212 views

    Msajili mkuu wa idara ya mahakama anne amadi alipungia mkono wadhifa huo na kuondoka rasmi katika shoroba za mahakama alikohudumu kwa miaka 10.