8 Sep 2025 10:25 am | Citizen TV 495 views Duration: 2:15 Idara ya usalama Mjini Malindi, kaunti ya Kilifi sasa inaripoti mafanikio katika juhudi za kukabiliana na magenge ya vijana wanaojulikana kama Mawoza baada ya kuwakamata na kuwafungulia mashtaka zaidi ya vijana 350.