- 6,460 viewsDuration: 25sPolisi wa Manchester wametumia siku mbili kumkamata mwanaume mmoja aliyekuwa akitafutwa na polisi baada ya kujificha juu ya paa la nyumba. Mwanaume huyo alijificha juu ya paa kwa muda mrefu, lakini hatimaye alinaswa baada ya kupitiwa na usingizi. Mshukiwa huyo alikuwa akitafutwa kwa tuhuma za kusababisha usumbufu kwa umma, kuharibu mali, kuvuruga amani, kuvamia nyumba na kuwashambulia maafisa wawili wa polisi. #bbcswahili #manchester #uhalifu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw