Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa anayedaiwa kummwagia asidi Mary Claire afikishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    9,284 views
    Duration: 2:34
    Mshukiwa wa mashambulizi dhidi ya mama mmoja, Mary Claire aliyejeruhiwa kwa kumwagiwa asidi amefikishwa mahakamani baada ya kukamatwa hapo jana. Inadaiwa kuwa sio mara ya kwanza mshukiwa huyo Elvis Opiyo amehusishwa na njama ya kumjeruhi mwathiriwa huyu. Kanda za video zimeonyesha mshukiwa akiwa katika eneo la tukio hilo hapa jijini Nairobi.