14 Jul 2026 1:09 pm | Citizen TV 2,632 views Duration: 1:18 Mshukiwa mkuu katika mauaji ya kinyama ya mfanyabiashara wa Nyeri mwenye umri wa miaka 25, Joy Kanini, ataendelea kuzuiliwa rumande kwa siku 21.