14 Oct 2025 7:43 pm | Citizen TV 19,112 views Duration: 2:56 Mshukiwa anayedaiwa kumdunga mshale na kumuua afisa wa GSU nje ya ikulu ya Nairobi amefikishwa mahakamani. Mshukiwa huyo kithuka kimunyi musyimi atazuiliwa kwa siku 14 uchunguzi ukiendelea