Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa wa mauaji ya mwanamziki Racheal Wandeto afikishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    18 views
    Maafisa wanaochunguza mauaji ya mwanamziki Racheal Wandeto wamemfikisha mshukiwa mmoja mahakamani. Mahakama imewapa wachunguzi muda wa siku 10 zaidi kuendeleza uchunguzi kuhusiana na kesi hiyo.