- 12,671 viewsDuration: 3:01Msichana aliyedhaniwa kufariki na kuzikwa miezi minane iliyopita aliduwaza kijiji kizima huko Nyaribari Chache baada ya kurejea nyumbani akiwa buheri wa afya. Sarah Kwamboka alijitokeza baada ya mazishi yake kuandaliwa mwezi Februari mwaka huu, baada ya kuripotiwa kuhusika kwenye ajali ya barabarani.