Msimamizi wa bweni shule ya Mukumu afariki

  • | Citizen TV
    2,338 views

    Kifo cha nne kimetokea katika shule ya upili ya wasichana ya Mukumu katika kaunti ya Kakamega kutokana na kile kinachoaminika kuwa maumivu yaliyosababishwa na chakula na maji yenye sumu.