- 3,101 viewsDuration: 2:41Msongamano wa magari ulishuhudiwa kwa zaidi ya saa ishirini kwenye barabara kuu ya nakuru kuelekea eldoret. Msongamano huo ulienea kutoka eneo la sobea, mau- summit hadi timboroa. Maafisa wa usalama wanasema kuwa msongoamano huo ulichangiwa na gari moja kuharibikia barabarani. Na kama anavyoarifu maryanne nyambura, wasafiri waliolala barabarani wanasimulia mahangaiko yao.