Mtoto auawa kwa kunyongwa kijijini Kamabundu, Kisii

  • | Citizen TV
    985 views

    Polisi kule Kisii wameanzisha uchunguzi kufuatia kisa ambapo mtoto mwenye umri wa miaka 3 aliyeachwa nyumbani na mamake na mjakazi kupatikana amenyongwa kabla ya mwili wake kulazwa ndani ya nyumba yao eneo la Kamabundu viungani mwa mji wa Kisi