Skip to main content
Skip to main content

Mtoto chupuchupu kugongwa na gari, mfanyakazi wa duka amuokoa

  • | BBC Swahili
    5,436 views
    Duration: 35s
    Tazama jinsi mfanyakazi wa dukani nchini Mexico alivyomuokoa mtoto mmoja aliyekuwa akikimbia kuelekea barabarani wakati magari yakipita kwa kasi. Watu wengine pia walikuwa wakimkimbiza mtoto huyo ili kumuokoa, lakini mmoja wao alianguka na kushindwa kumfikia lakini mfanyakazi huyo yeye alifanikiwa kumfikia mtoto, akamshika na kujirusha naye pembeni mwa barabara hivyo kumzuia asigongwe na gari. Baada ya hapo, akamrudisha mtoto huyo salama kwa watu waliokuwa pamoja naye #bbcswahili #mexico #usalamabarabarani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw