Mtoto wa miaka 11 mwenye uwezo wa kuchambua mpira

  • | BBC Swahili
    985 views
    Akiwa na umri wa miaka 11 pekee Junour Ramso Mbaga aliteka hisia za mashabiki wengi wa soko kutokana na umahiri wake wa kuchambua mchezo huo hatua kwa hatua Kwenye video iliyosambaa mitandaoni, alionekana mwenye hisia kali na utulivu akieleza makosa yaliyopeleka timu kufungwa. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds alimtembelea nyumbani kwao Mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #arusha