27 Oct 2025 10:19 am | Citizen TV 360 views Duration: 1:38 Wakazi wa eneo la Chemosit, kaunti ndogo ya Bureti kaunti ya Kericho wanaendelea kuutafuta mwili wa mtoto wa miaka minne aliyesombwa na maji ya mto Chemosit siku tano zilizopita