- 1,010 viewsDuration: 2:38Mtu mmoja ameuawa kufuatia vurugu za kampeni za uchaguzi mdogo katika wodi ya chwele huko kabuchai kaunti ya bungoma. Mzee huyo wa miaka 70 aliyekuwa akipokea matibabu baada ya ghasia hizo amefariki akipokea matibabu. Wengine waliojeruhiwa wanaendelea kutibiwa. Haya yamejiri huku joto la kisiasa likitanda miongoni mwa wanasiasa wanaojiandaa kwa chaguzi ndogo maeneo mbalimbali nchini.