Skip to main content
Skip to main content

Mtu mmoja auawa na majambazi huko Elgeyo Marakwet

  • | Citizen TV
    5,742 views
    Duration: 47s
    Wiki moja baada ya tukio la Mauaji kutokea katika eneo la Cheptobot eneo bunge la Marakwet Mashariki kaunti ya Elgeyo Marakwet tukio lililopelekea nyumba za familia 10 kuchomwa katika eneo hilo,wakazi wa Kijiji hicho kwa sasa wanaishi kwa hofu kutokana na kile waliotekeleza mauaji hayo bado hawajakamatwa na polisi. Wakizungumza kwenye hafla ya mazishi ya kijana mwenye aliuliwa Hosea Chemweno,wakazi hao wamesema kuwa hawaishi makwao tena kutokana na kile wanatishiwa maisha na vijana waliotekeleza kitendo hicho Wamesema kuwa yafaa kwa kitengo cha usalama katika eneo hilo kuchukua hatua za haraka kuwakamata washukiwa hao wanao onekana wakitembea katika eneo hilo na kutishia wakazi, kabla watekeleze kitendo kingine kibaya kwa watu wengine