Skip to main content
Skip to main content

Mtumiaji wa kiti cha gurudumu wa kwanza kufika anga za juu

  • | BBC Swahili
    16,636 views
    Duration: 42s
    Kwa mara ya kwanza duniani, mtu anayetumia kiti cha magurudumu ametimiza ndoto ya kwenda anga za juu. Mhandisi Michaela Benthaus,raia wa Ujerumani, amekuwa mtumiaji wa kiti cha magurudumu tangu alipata ajali ya baiskeli miaka saba iliyopita. Kwa msaada wa vifaa maalum, Michaela aliingia kwenye ndege maalum ya safari za anga ya juu, akapaa angani, na akarudi salama duniani. @bosha_nyanje na maelezo zaidi - - #bbcswahili #angazajuu #ulemavu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw