- 65,349 viewsDuration: 35sMwenza wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir Hassan, amefariki dunia Septemba 7, 2026. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, Hafidh Ameir Hassan amefariki wakati akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo Zanzibar. #bbcswahili #samiasuluhuhassan #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw