21 Apr 2026 1:52 pm | Citizen TV 390 views Duration: 1:28 Murang’a razors wameendelea kuonyesha ubora wao katika ligi ya mpira wa kikapu ya Embu, wakijihakikishia ushindi kwenye mechi mbili muhimu dhidi ya old guards zilizokuwa na ushindani mkali