Ndoa za mapema na za kulazimishwa zimetajwa kuwa miongoni mwa aina mbaya zaidi za uhalifu katika eneo la kaskazini ya Kenya. Waziri wa usalama wa taifa, Kipchumba Murkomen, aliyezungumza katika kaunti ya Wajir aliwaonya wale wanaolazimisha wasichana wadogo kuingia kwenye ndoa kwamba watakabiliwa kwa mujibu wa sheria. Giverson Maina alizuru kaunti ya Wajir na kutuandalia taarifa ifuatayo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive