Skip to main content
Skip to main content

Murkomen: Watu 1189 wamehukumiwa kwa ghasia za kisiasa na uhuni tangu mwaka 2022

  • | KBC Video
    171 views
    Duration: 1:44
    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen amesema kuwa watu 1189 wamehukumiwa kwa ghasia za kisiasa na uhuni tangu mwaka 2022. Alipofika mbele ya bunge la seneti, waziri Murkomen alisema kuwa hukumu uliotolewa na mahakama ulitofautiana kulingana na uzito wa uhalifu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive